Makazi General &Car Dealers

Makazi General &Car Dealers Makazi General & Car Dealers. Property & Asset Advisory. Wauzaji Na Wanunuzi Hukutana Hapa. Makazi General LTD & Car Dealers. Uaminifu Na Uwazi Ndio Dira Yetu.

For Serious Investors.

💼Property and vehicle acquisition handled with verified ownership, due diligence, and professional guidance.
🙏For Serious Investors

Let's Connect 📲 +255 785 439 614

05/06/2026
TOYOTA KLUGER MPYA YA KUWAHI🔥...✅️Gari ni Mpya huendi garage 100%✅️Imeagizwa japan ikasajiriwa na kuingia sokoni.✅️Gari ...
05/06/2026

TOYOTA KLUGER MPYA YA KUWAHI🔥...

✅️Gari ni Mpya huendi garage 100%
✅️Imeagizwa japan ikasajiriwa na kuingia sokoni.
✅️Gari imepasi ukaguzi wote wa engine, gearbox, bodywork na electronic diagnosis machine 100%
🌎Dar Es Salaam
💵Thamani yake ni millioni 29.8 Tu - Maongezi yapo kidogo sana.

🎯Ni vyema kuona, kukagua na kujiridhisha.
📱Tuwasiliane:
+255765113961
+255785439614

Magari Mazuri ya Bei Nafuu Huwa Tunapost Kwenye Channel Yetu Tu.

Jiunge Mapema Bado ni BUREE kwa Sasa.
⬇️
https://whatsapp.com/channel/0029VaCpJ56EVccK8MKqfI0Y

31/05/2026

Toyota Altezza v/s Toyota Premio...

Wewe ni Kijana wa MAKELELE au Mzee wa MAHESABU mengi mjini?

Haijalishi unahitaji Toyota Altezza au Toyota Premio zote tunazo kwa bei inaendana kabisa na kipato chako.

Toyota Allteza inataka milioni 4.5 Tu
Toyota Premio inataka milioni 15.7 Tu

Unachagua ipi leo, tucheki tukupe gari uipendayo.

Call & WhatsApp 0785439614

Kuona magari mengine mazuri lakini ya bei rafiki kidogo bonyeza link hapa chini.
👇👇
https://whatsapp.com/channel/0029VaCpJ56EVccK8MKqfI0Y

28/05/2026
19/05/2026

Historia kubwa iimeandikwa jana jijini Dodoma baada ya utiaji saini wa ujenzi wa barabara za njia nne na Ihumwa Interchange.

Hii inalifanya jiji la Dodoma kuwa jiji la pili kuwa na Flyover Tanzania.

Unafikiri ni jiji gani litachukua namba 3 kati ya Mwanza na Arusha ?

Tuandikie kwenye maoni yako hapa chini kwenye comment na mshindi atajishindia bando la mwezi mzima BUREE kabisa.

Kununua kiwanja Tanzania inaweza kuwa uwekezaji mzuri au mwanzo wa maumivu ya kichwa.Hapa kuna mambo 3 ya haraka ya kuka...
16/05/2026

Kununua kiwanja Tanzania inaweza kuwa uwekezaji mzuri au mwanzo wa maumivu ya kichwa.

Hapa kuna mambo 3 ya haraka ya kukagua ili usije ukauziwa kiwanja cha wazi (Open Space) au eneo la mtu mwingine.

1.​Hakikisha unafanya 'Search' ya hati wizarani au manispaa.

2.​Ongea na majirani wa eneo hilo kabla ya kutoa pesa.

3. ​Shirikisha serikali ya mtaa husika.

​Kama unatafuta viwanja vilivyopimwa na vyenye hati salama hapa Dar es salaam, Dodoma, Mwanza, Arusha au maeneo ya karibu, tumekuandalia orodha maalum ya viwanja vyetu vya mwezi huu.

​Bonyeza link kwenye Bio kuja WhatsApp kupata orodha hii bure sasa hivi:

15/05/2026

Makazi General & Car Dealers Agency ni Moja ya Commission Agency Kongwe na za Kuaminika Sana Nchini Tanzania...

Na Leo tumezindua rasmi Bonanza la kidigitali la vyombo vya moto yakowemo magari makubwa kwa madogo, maguta na pikipiki litakalokuwa linafanyika kila ijumaa, jumamosi na jumapili ya kila mwezi wakati tunaandaa utaratibu wa kulileta mtaani kwenye jiji lako.

Bonanza hili na kidigitali litakuwa ninafanyika kwenye channel maalumu ya Makazi General & Car Dealers 🚗

Link ya kushiriki Bonanza hii hapa.
⬇️⬇️
https://whatsapp.com/channel/0029VaCpJ56EVccK8MKqfI0Y

Kwenye Bonanza utapata nafasi ya kuuza na kununua chombo cha moto kwa bei nafuu sana (bei ya soko).

Wahi mapema uwasiliane na uongozi k**a unataka kuuza chombo chako cha moto au k**a unahitaji usafiri mzuri kwa bei nafuu ya soko.

Tunakaribisha wadhamini, makampuni, taasisi, wafanyabiashara na watu binafsi kushirikiana nasi latika Bonanza la " Vimba na Ndinga Kitaalamu "

Pia tunakaribisha matangazo ya biashara zinazoendana na magari, real estate, ujenzi, smart home solutions na accommodations kwenye jukwaa letu.

Kwa maelekezo zaidi wasiliana na idara ya masoko kwa namba 0785439614.
Au mkurugenzi mtendaji wa Makazi General & Car Dealers Agency kwa namba 0765113961.

Kuanzia kesho tutaanza rasmi Bonanza la " Vimba na Ndinga Kitaalamu " litakalokuwa linafanyikia kwenye Channel yetu pend...
14/05/2026

Kuanzia kesho tutaanza rasmi Bonanza la " Vimba na Ndinga Kitaalamu " litakalokuwa linafanyikia kwenye Channel yetu pendwa ya Makazi General & Car Dealers.

Utapata nafasi ya kuona magari mengi ya bei nafuu kuliko mahali popote Tanzania hii.

Usikubali kupitwa, hakikisha unacopy link ya channel na kushare kwenye magroup na wadau wako wa karibu.

Link ya channel hii hapa
⬇️⬇️
https://whatsapp.com/channel/0029VaCpJ56EVccK8MKqfI0Y.

kila Ijumaa - Jumapili ya kila wiki ni mwendo wa kumiliki magari kwa Bei Kitonga tu.

Join kwenye channel yetu BADO ni BUREE kwa sasa.

Address

Kisasa Dodoma
Dodoma

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Makazi General &Car Dealers posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Makazi General &Car Dealers:

Share