Advocate Bashir Yakub

Advocate Bashir Yakub Advocate Of The High Court Of Tanzania
+255 714 047 241
Based In Dar Es Salaam.

10/05/2026

Mwenye Nyumba/Eneo Anaruhusiwa Kubomoa Ikiwa Mpangaji Hajalipa Kodi.

21/04/2026

Kwa Mtaji Wa Elfu 20 Tu Unaweza Kumiliki Kampuni Je Walijua Hilo.

17/04/2026

Kutomtumza Mzazi Ni Sababu Ambayo Mzazi Anaruhusiwa Kumnyima Mtoto Wake Urithi.

29/03/2026

Je Wajua Kuwa Ukiwa Kituo Cha Polisi Hairuhusiwi Kuhojiwa Zaidi ya Masaa Manne. Na muda Huo Ukizidishwa Bila Sababu Za Msingi Unaruhusiwa Kumfungulia Shauri Na Kumdai Fidia Huyo Askari Aliyezidisha Mda.

24/03/2026

Mke Anahesabika Hana Hatia Hata k**a aliua, Ikiwa Alitenda Kosa Hilo Kwa Kulazimishwa na Mme Wake.

15/03/2026

Nani Kakwambia Kuwa Mtoto Chini ya Umri wa Miaka 7 Lazima akae na Mama Yake. Na nani Kakwambia Kuwa Mtoto akifikisha Miaka 7 Ndio Umri wa Baba yake Kumchukua na Kukaa naye.

08/03/2026

Mume Kutolipa Mahari Haibatilishi Ndoa. Iwe amelipa kidogo au Hakulipa Kabisa Ndoa Haiwi Batili.

22/02/2026

TAHADHARI, Mamia Wako Jela Kwa Kununua Vitu K**a Simu, Laptop nk ambavyo Vilihusishwa Katika Jinai Kubwa k**a Mauaji nk.

Na hawaaminiki kuwa Hawakuhusika Kwasababu Hawana Nyaraka Yoyote Inayoonesha Kwamba Wao Walinunua TU.

14/02/2026

Enyi Watoto, ndugu wa Marehemu. Msigawane Mali za Marehemu Kabla Hamjalipa Madeni. Sheria Inataka Mlipe Madeni Kwanza Kisha Kinachonaki ndo Mgawane.

09/02/2026

Hairuhusiwi Kuomba Talaka Ikiwa Ndoa yako Haijafikisha Miaka Miwili tokea Mlipooana. Unatakiwa Kuvumilia Mpaka Huo Mda ndo Uwe na Sifa za Kuomba Talaka.

03/02/2026

Mwenye Mamlaka ya Kusema Wosia ni Batili ni Mahak**a Pekee. Ndugu au Mwanafamilia yeyote Hana Mamlaka ya Kusema Wosia ni Batili.

Na hata akisema, kusema kwake hakubatilishi wosia bali unaendelea kuwa halali mpaka ubatilishwe na Mahak**a au Vinginevyo.

Address

11000
Dar Es Salaam
11000

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Advocate Bashir Yakub posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share