17/05/2025
🌟 Kwa Maana Najua Mawazo Niliyokuwa Nayo Juu Yako 🌟
Maisha yanaweza kuwa magumu na yasiyotabirika. Wakati mwingine tunajikuta kwenye hali ya mashaka, hofu na kuchanganyikiwa. Tunaweza kujiuliza: Je, mambo haya yatawahi kuwa sawa? Je, juhudi zangu zina maana? Je, kweli kuna kusudi nyuma ya maumivu haya?
Lakini katikati ya hayo yote, sauti ya Mungu inasikika kwa nguvu ikisema:
“Kwa maana najua mawazo niliyokuwa nayo juu yenu, asema Bwana, ni mawazo ya amani wala si ya mabaya, kuwapa ninyi tumaini siku zenu za mwisho.” – Yeremia 29:11
Aya hii inatukumbusha kuwa Mungu hashangazi kuhusu maisha yetu — Yeye anajua. Anajua kwa upendo, kwa ukamilifu, na kwa kusudi.
Mipango yake si ya kutuangamiza, bali ya kutujenga. Si ya kutuvunja moyo, bali ya kutupa tumaini na mwanga wa kesho.
💫 Hata k**a huoni, Yeye anafanya kazi.
💫 Hata k**a umechanganyikiwa, Yeye anakuelekeza.
💫
🌟 For I Know the Plans I Have for You 🌟
Life can be unpredictable. Sometimes we face moments of doubt, fear, and confusion. We wonder if things will ever make sense, if our efforts matter, or if there's truly a purpose behind the pain.
But in the midst of all this, God's voice breaks through the noise with a powerful promise:
"For I know the plans I have for you," declares the Lord, "plans to prosper you and not to harm you, plans to give you hope and a future." – Jeremiah 29:11
This verse reminds us that God is not guessing about our future. He knows — deeply, fully, and lovingly. His plans are not to destroy us, but to build us. Not to leave us empty, but to fill us with hope and direction.
💫 Even when you don’t see it, He is working.
💫 Even when you feel lost, He is guiding.
💫 Even when you feel broken, He is restoring.
So don’t give up. Trust the process. Trust the One who holds your tomorrow.