Elias Nawera

Elias Nawera Kuunganisha CHAMA na Wanachama na WANANCHI na Serikali

Siku hii ya kumbukizi ya kufufuka kwa Yesu Kristo ni nafasi nyingine ya kutafakari na kutimiza wajibu wetu wa kuendelea ...
05/04/2026

Siku hii ya kumbukizi ya kufufuka kwa Yesu Kristo ni nafasi nyingine ya kutafakari na kutimiza wajibu wetu wa kuendelea kujenga Taifa moja, imara, lenye ustawi, haki, maadili mema na utu.

20/03/2026

Omba Toba, Samehe - Fanya Matendo ya Huruma

19/03/2026

Tutakiane Heri na Baraka

11/03/2026

Usiuze Hatima yako Kwa Jambo la Mpito Bishop David Olaniyi Oyedepo Bulldozer Pastor Mike, Jr.

Katika Hatua Nyingine ya Kutambulika na Kuheshimika Kimataifa kwenye Mambo ya UTU na KAZI , KAMATI KUU ya Afrika CDC ime...
10/02/2026

Katika Hatua Nyingine ya Kutambulika na Kuheshimika Kimataifa kwenye Mambo ya UTU na KAZI , KAMATI KUU ya Afrika CDC imemchagua RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN kuwa Balozi wa HUDUMA za AFYA ya Mama na Mtoto barani AFRIKA.

Uteuzi HUU ni ishara ya kutambua MCHANGO wa Rais DKT. SAMIA SULUHU HASSAN katika kuimarisha sekta ya AFYA, hususan kwenye kuboresha huduma za AFYA ya mama na mtoto.

14/11/2025

Kura ni Imani na Kura ni Uamuzi - Imani Kwa Dkt SAMIA SULUHU HASSAN

"Niwasihi watanzania tuchague hekima badala ya Ghazabu , busara badala ya mihemko , Upendo badala ya Chuki , Uvumilivu b...
04/11/2025

"Niwasihi watanzania tuchague hekima badala ya Ghazabu , busara badala ya mihemko , Upendo badala ya Chuki , Uvumilivu badala ya Vinyongo , Umoja badala ya Mgawanyiko na Amani badala ya Vurugu"

Dkt Samia Suluhu Hassan - Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama.

28/10/2025

TUJITOKEZE
ili Kuleta
Uchaguzi Huru
Uchaguzi wa HAKI
na
Uchaguzi Unaoaminika

27/10/2025

Kumpa 5 TENA
Dkt SAMIA SULUHU HASSAN

26/10/2025

Dkt Hussein Ali Mwinyi
5TENA
Uongozi Unao Acha Alama ゚viralシfypシ゚

24/10/2025

LENGO LA HAO MAGAIDI:
MOJA: Kukuletea Shujaa Bandia
(Mfano huyu Dada wa Marekani Eti analia? , Huyu wa Kyuba ambaye anajifanya LEO anatuonea HURUMA, Huyu Aksof aliyesikika kwenye vidio...
MBILI: Kukuletea na kukuwekea kichwani kwako MAADUI wa Bandia
Mara huyu anamagari Mazuri (Huku yeye Mwenyewe akituonesha k**a Hayo hayo)

TATU : kucheza na HISIA : KUAMSHA HOFU, HASIRA Kwa wasio stahiki na HURUMA Kwa wasio stahili

Address

33 Kirua Vunjo/Moshi
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:04 - 15:06
Tuesday 09:00 - 16:04
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00

Telephone

+255767129827

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Elias Nawera posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Elias Nawera:

Share