Stand 4 Her Land Tz

Stand 4 Her Land Tz A campaign which works to strengthen land rights for women by closing the gap of law by helping fulfilling promises of gender equality.

It effects impact through targeted Tanzanians advocacy to drive meaningful, tangible and lasting change on the ground.

At     Tanzania grassroot leader  shared about her journey and the work she does to advance women's land rights in her c...
18/11/2025

At Tanzania grassroot leader shared about her journey and the work she does to advance women's land rights in her community. She was joined by other grassroot leaders from Uganda and Senegal who shared best practices on how women are mobilizing themselves to claim their land rights in their communities.
It was a good space to connect with partners, academia, policy makers, DPs and traditional leaders to discuss and deliberate on land policies and inclusive land governance in Africa.

Partners
.w.c_tanzania

Together we STAND FOR HER LAND.

Tarehe 17 Octoba 2025, Wadau wa Kampeni ya     na  Kwa kushirikiana na Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo waliadhimisha S...
25/10/2025

Tarehe 17 Octoba 2025, Wadau wa Kampeni ya na Kwa kushirikiana na Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo waliadhimisha Siku ya Mwanamke anayeishi Kijijini ambayo huadhimishwa Kila mwaka tarehe 15 Octoba. Maadhimisho haya yalifanyika Kijiji Cha Kaole, kata ya Dunda.

Maadhimisho haya yaliambatana na mjadala juu ya umuhimu wa kuimarisha na kusimamia haki za Ardhi za Mwanamke hasa anayeishi Kijijini, uhitaji wa kushirikisha wanawake kwenye harakati na maamuzi ya kukabiliana na mabadiliko ya tabia ya nchi.

Maadhimisho haya yaliambatana na uzinduzi rasmi wa Ilani ya Haki za Ardhi za Mwanamke, inayotoa wito na madai ya wanawake wa Tanzania juu ya umiliki wa Ardhi, nafasi katika maamuzi na utawala wa Ardhi, elimu ya sheria na msaada wa kisheria, upatikanaji wa rasilimali na uwezeshwaji, pamoja na uwajibikaji. Nyenzo hii itatumika na wanawake katika kufanya uchechemuzi wa haki zao.

Huduma ya Msaada wa kisheria pia ilitolewa na ikiwa na sehemu ya kuhakikisha ulinzi na usimamizi wa haki unatendeka.
Maadhimisho haya yalihudhuriwa na wajumbe wa Jukwaa la wanawake wa vijijini kutoka nchi za SADC linaliratibiwa na ambayo walitoa uzoefu kutoka nchi zao. Vilevile wawakilishi kutoka Kiteto, kilosa, ifakara, kilombero, Mlimba, Loliondo na maeneo ya karibu na Bagamoyo.

08/10/2025

Sehemu ya 7:
tunatazamia jamii ambayo Wanawake na wanaume wanapata, miliki, dhibiti, tumia, nufaika na rithi Ardhi Kwa usawa.

Ungana na wajumbe wa kampeni ya kufanya uchechemuzi juu ya Haki za Ardhi za Wanawake. ............................

Episode 7:
TZ We envision a society where all women and men access, own, use, control, inherit, and benefits from land equitably.

Join the coalition to advocate for women's land rights.

03/10/2025

Sehemu ya 6:

Inaangazia muhtasari wa Madai ya Ilani ya Haki za Ardhi za Wanawake.
1. Mabadiliko ya mfumo wa Sheria na Mila na desturi
2. Takwimu zenye mlengo wa jinsia
3. Mfumo wa ufuatiliaji
4. Rasilimali
5. Kuondoa Mila na desturi
6. Wadau wa maendeleo kuzipa kipaumbele haki za Ardhi za Wanawake
7. Taasisi binafsi zilinde haki za Wanawake za Ardhi
8. Asasi za kiraia ziendelee kuchechua kuhusu haki za Ardhi za Wanawake.

Ungana nasi katika uchechemuzi kuhakikisha Kila Mwanamke anapata haki zake katika Ardhi. ......................................

Episode 6:

Analyses the Summary of the Women Land Rights Manifesto, which are
1. Legal and customary reforms.
2. Collect gender disaggregated data.
3. Establish a monitoring mechanism to track progress on WLRs.
4. The government allocates budgets for legal reforms, land use, and capacity development.
5. Communities address discriminatory norms.
6. DPs, INGO's and Donors prioritize WLRs.
7. The private sector respects and protects WLRs.
8. CSO's advocate for WLRs.

Join the movement to advance women's land rights in Tanzania

Happy Farmers Day 8th August.
08/08/2025

Happy Farmers Day 8th August.

Heri ya Siku ya Wakulima.
08/08/2025

Heri ya Siku ya Wakulima.

Today is an International Day and we are honoring the rights and experience of widows worldwide.
23/06/2025

Today is an International Day and we are honoring the rights and experience of widows worldwide.

15/10/2024

Kuadhimisha siku ya Mwanamke aishiye kijijini Leo tarehe 15 Octoba 2024 na wadau tumeandaa Jukwaa la Mwanamke wa kijijini, Kijiji Cha Nkulabi, Dodoma. Tumesikia mengi kutoka Kwa wanawake na wanaume kuhusu haki ya mwanamke kumilikinardhi. Mila na desturi kandamizi na kutokua na elimu ya haki za ardhi za mwanamke vikitajwa kuwa vyanzo vikubwa vya idadi ndogo ya wanawake kumiliki ardhi.

Read Rehema's story on our   website and WLR platform
09/10/2024

Read Rehema's story on our website and WLR platform

S4HL partners  and  trained Mikese Ward's leadership on women's rights and legal reforms. These trainings have brought s...
24/08/2024

S4HL partners and trained Mikese Ward's leadership on women's rights and legal reforms. These trainings have brought significant improvements as women in the ward are now aware of their land rights and have started claiming ownership of their lands.

Wadau wa Liberty Spark na Morogoro Paralegal, walitoa mafunzo juu ya haki za wanawake na mabadiliko ya sheria kwa uongozi wa Kata ya Mikese. Mafunzo haya yameleta mabadiliko makubwa kutokana na Wanawake wengi sasa wanafahamu haki zao za ardhi na wanazisimamia hasa umiliki wa ardhi




Fahamu zaidi kuhusu kazi za wadau hawa kupitia tovuti na mitandao ya kijamii.

July 31 kampeni ya   ilishiriki katika mjadala wa x space uliondaliwa na  ikishirikiana na asasi zisizo za kiraia kuhusu...
22/08/2024

July 31 kampeni ya ilishiriki katika mjadala wa x space uliondaliwa na ikishirikiana na asasi zisizo za kiraia kuhusu mipango ya matumizi ya ardhi, uhifadhi wa maliasili na haki za wanawake. Tulizungumizia haki za wanawake Kwa muktadha wa Tanzania na namna ambavyo kampeni imejipanga kuondoa Mila na desturi kandamizi.

Heri ya Siku ya Wakulima.
08/08/2024

Heri ya Siku ya Wakulima.

Address

Dar Es Salaam
255

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Stand 4 Her Land Tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Stand 4 Her Land Tz:

Share

Category