Katibampyatz

Katibampyatz We are active citizens and activists ,here to demand a new constitution in Tanzania| | |
[email protected]

Nguvu na Uhuru wa Mdhibiti na Mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali (CAG) ni vizuri akalindwa na kuwekewa utaratibu wa kupa...
16/05/2022

Nguvu na Uhuru wa Mdhibiti na Mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali (CAG) ni vizuri akalindwa na kuwekewa utaratibu wa kupatikana kwake na utekelezaji wa majukumu yake kwenye katiba.

Vyama vya siasa na Msajili wa vyama vya siasa ni taasisi za wananchi, hivyo lazima kutambulika kwenye katiba ya nchi na ...
16/05/2022

Vyama vya siasa na Msajili wa vyama vya siasa ni taasisi za wananchi, hivyo lazima kutambulika kwenye katiba ya nchi na kuwekewa miiko. Upatikanaji wa Msajili vyama vya siasa na wajibu wake ni vyema ukawa kwenye katiba yetu ya nchi.

Shughuli za Serikali zisichanganywe na Siasa. Watumishi wa umma sasa wanatumia rasilimali za umma kutekeleza kazi za vya...
16/05/2022

Shughuli za Serikali zisichanganywe na Siasa. Watumishi wa umma sasa wanatumia rasilimali za umma kutekeleza kazi za vyama vya siasa mfano.Rais, Mawaziri, wakuu wa wilaya na mikoa.

26/06/2021

Address

Dar Es Salaam
11111

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Katibampyatz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Katibampyatz:

Share

Category