simon.esq

simon.esq CCM
A/Legal Counsel - International Criminal Court
Partner - VMY

It is with profound sadness that we mourn the loss of a great African leader, Mr. Raila Odinga. Rest well, the people of...
17/10/2025

It is with profound sadness that we mourn the loss of a great African leader, Mr. Raila Odinga. Rest well, the people of East Africa will forever remember you in their hearts.

Bwana alitoa na bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.๐Ÿ™๐Ÿฟ

Hayati Dkt. John Pombe Magufuli ataendelea kuishi kwenye mioyo yetu. Ni faraja sana kufika Chato na kumjulia hali, endel...
13/10/2025

Hayati Dkt. John Pombe Magufuli ataendelea kuishi kwenye mioyo yetu.

Ni faraja sana kufika Chato na kumjulia hali, endelea kupumzika mzalendo.



NB: Kamwe hauwezi kumridhisha mtu asiye na shukrani. โ€œSPW๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟโ€

Katika harambee ya kuchangia gharama za matibabu ya watoto 400 wanaosumbuliwa na tatizo la mguu kifundo (miguu kupinda) ...
14/03/2025

Katika harambee ya kuchangia gharama za matibabu ya watoto 400 wanaosumbuliwa na tatizo la mguu kifundo (miguu kupinda) iliyoratibiwa na ikishirikiana na Wizara ya Afya pamoja na Hospital ya CCBRT, mimi nitachangia Shilingi za Kitanzania Milioni Tano (Tsh. 5,000,000/=).

Hongera sana kwa kuendelea kugusa jamii.

NB: Swaumu kali na mateso mnayoyapitia kwenye mfungo huu wa ramadhani na kwarezma, kuna watu ndio maisha yao ya kila siku. Ukipata fursa ya kumshika mtu mkono itumie kwa unyenyekevu, hiyi ndo ibada kamili.

K**ati ya Uendeshaji wa Ligi haina mamlaka ya kukaa na kujadili mechi ambayo haijachezwa.  K**ati imeeleza kuwa watani z...
08/03/2025

K**ati ya Uendeshaji wa Ligi haina mamlaka ya kukaa na kujadili mechi ambayo haijachezwa.

K**ati imeeleza kuwa watani zetu hawakuwasiliana na afisa yeyote wa mchezo, timu mwenyeji, wala mamlaka husika, lakini bado wakaamua kuahirisha mchezo.

Kimahesabu, Mnaahirisha mchezo ili kuizuia Yanga kupata alama 3 na kuipokonya timu iliyogoma alama 15.

Viongozi wetu, msikubali jambo hili.

Nawapongeza Viongozi wa Klabu ya Yanga, chini ya ndugu yangu   kwa tamko la kimpira.  Muda wa mechi ukifika, timu yetu i...
08/03/2025

Nawapongeza Viongozi wa Klabu ya Yanga, chini ya ndugu yangu kwa tamko la kimpira.

Muda wa mechi ukifika, timu yetu iwe uwanjani. Naomba mashabiki wajitokeze kwa wingi kuwapokea wachezaji.

Iwapo timu pinzani haitafika uwanjani, kanuni ziko wazi na zinapaswa kufuatwa.

Katika hili, msikubali busara kutumika. Adhabu ya kutoruhusu timu kufanya mazoezi inajulikana k**a kuna hatia, na adhabu kwa timu inayogomea mechi pia inajulikana. Kila timu inapaswa kuadhibiwa kwa mujibu wa kanuni.



Kwa mujibu wa kanuni, ni kweli kwamba timu ngeni ina haki ya kufanya mazoezi angalau mara moja kabla ya mechi.  Hata hiv...
08/03/2025

Kwa mujibu wa kanuni, ni kweli kwamba timu ngeni ina haki ya kufanya mazoezi angalau mara moja kabla ya mechi.

Hata hivyo, kwa kuwa ligi yetu inaendeshwa kwa busara, na ikizingatiwa kuwa katika mzunguko wa kwanza Klabu ya Yanga ilinyimwa haki ya kufanya mazoezi siku moja kabla ya mechi, basi hakuna uhalali wa kuruhusu wenzetu kufanya mazoezi ili kuepuka upendeleo wa aina yoyote (โ€œdouble standardโ€).

K**a mamlaka zingekuwa makini katika kusimamia kanuni kwa kiwango sawa na wanavyofanya katika kutoa faini kwa vilabu na kuwafungia wasemaji, hali hii isingekuwepo.

NB: Fanyeni yote Afrika nzima inasubiria derby ya Kariakoo.

Ukiaminiwa ni deni ๐Ÿ™๐Ÿฟ๐Ÿ™๐ŸฟSSH 2025 - 2030
05/03/2025

Ukiaminiwa ni deni ๐Ÿ™๐Ÿฟ๐Ÿ™๐Ÿฟ

SSH 2025 - 2030

Address

Yanga HQ
Dar Es Salaam
131411

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when simon.esq posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share