16/10/2025
MPENDWA
Ukiugua AMINI kuwa utapona,ukianguka AMINI kuwa utasimama Tena
MA
MIMI niliugua sana hospital ilishindikana kabisa NILIIKAZA MISULI YA IMANI na MUNGU asiyeshindwa Ameniponya Tena,
NDUGU kaza MISULI Yako ya IMANI ili umuone MUNGU