Ndoa yako NA Mungu

Ndoa yako NA Mungu Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Ndoa yako NA Mungu, Legal, +255694717121, Bariadi.

UPENDO NA MAFARAKANO
14/12/2024

UPENDO NA MAFARAKANO

Sasa basi patano hili la muda linapokosa amani ndani yake faham kuwa patano hili sio patano tena bali imekuwa ni Sasa basi wewe MKE mume akikikupa talaka ipokee kwa mikono yako miwili na umshukuru Mungu kwa jambo hilo,nawe MUME mke akikuomba talaka mpe wala usimzuie na umshukuru Mungu kwa jambo hilo,iposababu kubwa ya MUNGU kukutenganisha na mtu asiye sahihi kwako,Lazima ngano na makapi zinapokuwa pamoja zinapepetwa na kubaki NGANO SAFI

  Sasa basi patano hili la muda linapokosa amani ndani yake faham kuwa patano hili sio patano tena bali imekuwa ni   Sas...
14/12/2024

Sasa basi patano hili la muda linapokosa amani ndani yake faham kuwa patano hili sio patano tena bali imekuwa ni Sasa basi wewe MKE mume akikikupa talaka ipokee kwa mikono yako miwili na umshukuru Mungu kwa jambo hilo,nawe MUME mke akikuomba talaka mpe wala usimzuie na umshukuru Mungu kwa jambo hilo,iposababu kubwa ya MUNGU kukutenganisha na mtu asiye sahihi kwako,Lazima ngano na makapi zinapokuwa pamoja zinapepetwa na kubaki NGANO SAFI

13/11/2024

Kupata Fasri za NDOTO
Usidharau ndoto unazoota,
NDOTO NI MAISHA
Karibu:-+255694717121

Mume onesha UPENDO kwa mwenza wako harikadhalika MKE onesha utiifu kwa mwenza wako,katika ndoa hapaswi kuingiza mazoea y...
07/11/2024

Mume onesha UPENDO kwa mwenza wako harikadhalika MKE onesha utiifu kwa mwenza wako,katika ndoa hapaswi kuingiza mazoea ya hari yeyote yaani mke usimzoee mumeo na mume usimzoee mkeo,mazoea huharibu NDOA

  ni taasisi ya watu wawili ili taasisi iendelee kusimama na kupanuka lazima kuwe na UPENDO+MAELEWANO=   palipo na umoja...
03/11/2024

ni taasisi ya watu wawili ili taasisi iendelee kusimama na kupanuka lazima kuwe na UPENDO+MAELEWANO= palipo na umoja kuna mafanikio,maendeleo na AMANI.

  ni  /agano la milele,wanandoa mwombeni sana MUNGU ili aliimalishe patano/agano lenu,musiache IBADA katika patano/agano...
14/10/2024

ni /agano la milele,wanandoa mwombeni sana MUNGU ili aliimalishe patano/agano lenu,musiache IBADA katika patano/agano lenu,ndoa nyingi zinavunjika kwa kupungukiwa au kukosa ibada kwa MUNGU WA PATANO/AGANO.

  huwa na wasiwasi juu ya mwenza wake hasa hasa mwanamke MKE anapenda sana kukumbushwa na Mume wake juu ya ndoa yao, wew...
12/10/2024

huwa na wasiwasi juu ya mwenza wake hasa hasa mwanamke MKE anapenda sana kukumbushwa na Mume wake juu ya ndoa yao, wewe Mume pendelea sana kumwambia mkeo neno NAKUPENDA,neno hili hunusuru ndoa nyingi sana zilizo hatar kuvunjika/kubomoka,tambua anaipenda sana ndoa yenu

  katika Ndoa ni nguzo mhimu sana,  /MUME mheshimu mwenza wako ili upendo uzidi kutanda katika ndoa,dharau huuvunja na k...
11/10/2024

katika Ndoa ni nguzo mhimu sana, /MUME mheshimu mwenza wako ili upendo uzidi kutanda katika ndoa,dharau huuvunja na kuibomoa NDOA.

10/10/2024

ni shamba ambalo linaloitwa UPENDO, pia inapaliliwa kwa jembe linalo itwa KUSAMEHEANA,pia inatiwa mbole aina ya MAOMBI, pia inamwagiliwa maji aina ya KUJARIANA, na inalindwa na mlinzi mahiri ambae ni MUNGU, akawe mlinzi wa ndoa yako siku zote.

Address

+255694717121
Bariadi

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ndoa yako NA Mungu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category