Swatazakingo International

Swatazakingo International Business Activity

> Advertising activity
> News agency activity
> Organizations of convention

OFA! OFA!---------------------------------SWATAZAKINGO INTERNATIONAL, ni Kampuni inayojishughulisha na matangazo kwa nji...
21/08/2021

OFA! OFA!
---------------------------------
SWATAZAKINGO INTERNATIONAL, ni Kampuni inayojishughulisha na matangazo kwa njia ya mitandao pamoja na Jarida (Magazine) litakalochapwa kila mwezi.

Ni miongozi mwa makampuni machache kuwahi kuanzishwa nchini Tanzania kwa lengo la kuwafanya wafanyabiashara, taasisi za kiserikali na zisizozakiserikali kushiriki mpango wa kutangaza bishaa na shughuli mbalimbali ndani na nje ya Tanzania.

Afrika Mashariki na kati ni pamoja na:-
Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Sudan, Burundi
------------------------------------
Nchi za nje na ushirika:-
Marekani, Canada, Ujerumani, Sweden, Dernmark
------------------------------------
Kampuni inapenda kutoa wito kwa wafanyabiashara wote wakubwa kwa wadogo kutumia fursa hii kuweza kutangaza biashara zao nje na ndani ya nchi kwa kukuza uchumi kwa maendeleo kiutendaji.
Vipo vipaumbele mbalimbali vya kuzingatiwa ikiwemo, huduma za kitalii (Tour Operators and Hotels), wauzaji wa mazao(Crops Selling), Taasisi za elimu(Univerisities and Colleges), Maduka Makubwa(Supermarkets), Makampuni ya Ujenzi na vingine vingi.

Matangazo yote kwa sasa yatafanywa kwa OFA KUBWA ya TSH 450,000/= kwa miezi minne TU!
------------------------------------
Kwa mawasiliano zaidi wasiliana nasi kwa namba za simu:- 0757720176 / 0766712203 / 0625736036 /
Email: [email protected]

Tunapatikana Arusha Mjini karibu na Mnara wa mwenge, jengo la UVCCM, Mita 100 kutoka barabara kuu.

KARIBU SANA.

Hongera Mh. Samia Suluhu HassanRaisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
19/03/2021

Hongera Mh. Samia Suluhu Hassan
Raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.

Mtetezi wa kweli wa wanyonge, Tunakukumbuka
18/03/2021

Mtetezi wa kweli wa wanyonge, Tunakukumbuka

Baadhi ya wafanyakazi wa SWATAZAKINGO INTERNATIONAL
02/03/2021

Baadhi ya wafanyakazi wa SWATAZAKINGO INTERNATIONAL

Mahali tulipo pamoja na mawasiliano, soma kipeperushi hapa chini.--Physical adress and our contacts, You can also read o...
28/02/2021

Mahali tulipo pamoja na mawasiliano, soma kipeperushi hapa chini.
--Physical adress and our contacts, You can also read our poster below.

28/02/2021

Karibu SWATAZAKINGO INTERNATIONAL tuambie nini unafanya tutaitaarifu dunia kuhusu biashara yako.

Karibu SWATAZAKINGO INTERNATIONAL, Kampuni inayojishughulisha na matangazo kwa njia ya mitandao, Magazine/Gazeti litakal...
28/02/2021

Karibu SWATAZAKINGO INTERNATIONAL,
Kampuni inayojishughulisha na matangazo kwa njia ya mitandao, Magazine/Gazeti litakalochapwa kila mwezi. Kujua kazi nyingine tunazofanya soma kipeperushi hapa chini.

Address

Kaloleni Street, UVCCM Arusha Office No. 10, Nearby Makumbusho Ya Azimio La Arusha/Mnara Wa Mwenge
Arusha

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Swatazakingo International posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Swatazakingo International:

Share

Category