Siri za bibilia , kufaulu kimaisha

Siri za bibilia , kufaulu kimaisha watu wa Mungu wamepotea kwa kukosa maarifa ( hosea 4 : 6 , Isaiah 5 ; 13)

je unajua umesamehewa dhambi ya Leo , ya Jana na ya kesho ........!??
02/02/2025

je unajua umesamehewa dhambi ya Leo , ya Jana na ya kesho ........!??

psalms 91:10-11
02/02/2025

psalms 91:10-11

01/02/2025

Je unajua umesamehewa dhambi ya Leo ya kesho na kesho kutwa.....!??

01/02/2025

je MUNGU ni wangapi. YESU ni Mungu......!??

01/02/2025

Je kunywa pombe ni makosa..... kwa Yehovah

20/06/2022
18/04/2022

Leo hii nawaobea nyote ...mkitoka maana mumebarikiwa mkitoka na mkirudi hamna libaya litakalo wapata k**a vile mwanga unavyochomoza ndivyo baraka za Mungu zilivyo juu yenu...Atkaye amini...amini amini nawambia litakuwa ivyii kwake ...kwa Jina la Yesu🙏

18/04/2022

ENDUARANCE / UVUMILIVU hili ndilo somo kuu sana ambalo halifunzwi shuleni ....ila ni La LAZIMA tena la MZINGI ..NDOA...FAMILIA zimesabaratika kwa kukosa hili mkumbuke Ayubu ..mkumbuke Abrahamu...mkumbuke Yusufu....mkumbuke Daudi ....hii ni ya ubora wa kwako ....Naomba wazazi ...waalimu na jamii walitilie hili mkazo.....ndio sababu wapata wasichana wetu wakikimbilia vikongwe ...vijana mihandarati ..sababu wanataka vitu vya haraka ...wanataka wasome leo ..wapate ajira leo waoe leo..wanunue gari leo.....Hamna ....w.Uliza NELSON MANDELA kabla ya kuwa rahisi alivumilia nini

18/04/2022

Usindanganyike ukiristu haimaniishi kuwa mtu wa pato ndogo ....wengi wanasema wakiristu ndio wenye taabu nyingi ilaa nami nakizana na hili ...Imeadikwa ( Mathayo 6 :28 _ 33)Yesu anasema hana aibu kutuita sisi ndugu zake ...jameni niwaulize ...mtoto wa KIFALME anawezaje kuwa masikini....

18/04/2022

MKIRISTU elewa hii kwa mambo yote kuwa na kanuni na nidhamu sana sana kwa maombi ...elewa Malaika waliowekwa katika kila ministry wa ziada wa kukusaidia ...wengi hawajalipata hili ...Imeadikwa kwa kitabu cha Malaki kuwa mna malaika anayezaidia akina mama wakati wa kujifungua...ivyii elewa mnaye wa uzalizaji , wa safari ,mavuna ,ulinzi ,wa kukusaidia wakati wa Magumu jifunze kuwajumuisha ...wemgi wamekufa mbila kuwatumia hawa malaika wa ziada wewe umelipata itumie muda huu huu ...🙏shukrani Bwana wa Majeshi awe nanyi

18/04/2022

Hii itakufaa zaidi kila siku ..ukiinuka jifunze kunenea siku yako ..inenee baraka maana pia yasikia ..kumbuka kujumuisha aya : umebarikiwa ukitoka na ukirudi , hamna libaya litakalo kupata ..Maana Yesu ndiye mchungaji wako ( zaburu 23) hamna walonzi na nguvu za ngiza zitakuweza ( numbers 23: 23) naye ni mwaminifu ( numbers 23;19)

Address

P. O. Box 1195
Nairobi

Telephone

+254758695115

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Siri za bibilia , kufaulu kimaisha posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category