15/08/2025
Jifunze kushika details za account yako ya youtube. Weka account yako secure . Msanii jua kutumia snapchat, tiktok na ig. Kua mjanja. Alafu kua modern bana. Msanii unafaa kua role model. Jua kuvaa na kuongea. Usipost picha mbaya. Weka picha professional. Enda photoshop kila wakati uwe na picha nzuri. Usanii si kuimba tu. Kuna vitu vingi sana.
3000ksh Per Song. Juja Nairobi. Call/0.7.9.2.1.1.8.5.9.2